WIZARA

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ina majukumu mengi, lakini kimsingi, majukumu ya Wizara hii ni pamoja na haya yafuatayo:-i
• Kutunga Sera za Ulinzi wa Taifa na kusimamia utekelezaji wake.
• Kutoa mafunzo kwa vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa.
• Kuboresha utendaji kazi na maendeleo ya Rasilimali watu.
• Kusimamia Taasisi na Mashirika yaliyo chini ya Wizara.
• Kujenga mazingira mazuri ya kuwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania na Jeshi la Kujenga Taifa kufanya kazi zao kulingana na majukumu waliyonayo.

Copyright © 2014 Modans. All Rights Reserved.